GET /api/v0.1/hansard/entries/1194873/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194873,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194873/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sotik, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Francis Sigei",
    "speaker": null,
    "content": " Hatuzitumii. Ningependa lugha ya Kiswahili itumike siku moja kwa wiki katika hili Bungeni. Naunga mkono Hoja hii. Napongeza mashirika kama BBC na Sauti ya Marekani kwa kutusaida sana kwa kuendeleza lugha ya Kiswahili. Nakushukuru, Mhe. Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja hi ya Mhe. Hassan."
}