GET /api/v0.1/hansard/entries/1194875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194875,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194875/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Haika Mizighi",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kukushukuru kwa kunipatia fursa ya kuzungumza. Nimekuwa nikisubiri kwa muda ili nipate fursa hii hata mimi niweze kuchangia. Namshukuru Mwenyezi Mungu ya kwamba leo imefika. Pia nachukua fursa hii kuwashukuru watu wangu wa Taita Taveta kwa kunipatia kipindi cha pili ili niweze kuwatumikia kama kiongozi wao tena. Nawashukuru sana na nawambia kazi ile njema tulioweza kufanya, tutaifanya tena na zaidi. Nikirudi katika Hoja yetu ya leo, kwanza nampongeza sana Mhe. Yusuf Hassan kwa kuileta. Hoja hii ni bora sana na inasisitisa kuundwa kwa Baraza la Lugha ya Kiswahili. Kiswahili jamani kitukuzwe. Kiswahili ni lugha nzuri na imetambulika katika nchi yetu ya"
}