GET /api/v0.1/hansard/entries/1194906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194906,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194906/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ilani",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Naunga Rais wetu mkono, kwa sababu wakati mwingine anaongea Kiingereza na akimalizia yale yote ameongea, anatafsiri kwa Kiswahili ndio mwananchi wa kawaida ambaye ni mzalendo na yule hustler aliyempigia kura afahamu alichosema. Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii. Mimi hula miraa siku ya Ijumaa na nikila ‘ veve’ zangu, tunaongea Kiswahili pale nyumbani na wenzangu. Hata saa hii tunapoongea, wale wanaokula miraa kule Meru na Mombasa…"
}