GET /api/v0.1/hansard/entries/1194909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194909/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kiharu, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Ndindi Nyoro",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, niko na hoja ya nidhamu. Hii ni kwa sababu katika sheria za Bunge ama Kanuni za Kudumu hufai kuchanganya lugha. Nimemskia Mhe. akiendelea kukuita Madam na kusema for example . Kuchanganya lugha ndio ningetaka... Hii ni kwa sababu, siku ya leo wanafunzi wengi wamefika hapa kututazama. Ni vizuri wakirudi shuleni wajue kuna nidhamu inayofaa ndani ya hili Bunge."
}