GET /api/v0.1/hansard/entries/1194914/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194914,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194914/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania Mashariki, NOPEU",
"speaker_title": "Mhe. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": " Ahsante Mhe. Naibu Spika. Mhe. Ndindi ni ndugu yangu mdogo mpendwa. Anajua wakati alipokuwa ameenda na maji kule, sikuruhusu abebwe na maji. Kwa hivyo, yeye hana maneno ya maana na si lazima aongee. Langu ni moja tu, kwamba naunga mkono Hoja hii ndiyo Kiswahili kienee hapa nchini na Wakenya wainuke. Nasema ahsante kwa watu wa Tigania Mashariki kwa kunipigia kura na kufanikisha kuja kwangu hapa Bungeni."
}