GET /api/v0.1/hansard/entries/1194915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194915/?format=api",
"text_counter": 230,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania Mashariki, NOPEU",
"speaker_title": "Mhe. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": "Pia nasema ahsante kwa ndugu zangu waliokuwa katika Bunge lililopita kwa kunipigia kura ndiyo nikaenda East Africa Legislative Assembly (EALA). Mimi sina vita na mtu yeyote, naungana pamoja na Wakenya. Kama nilivyosema Kiswahili ni lugha ya maana. Sina mtoto wa mgongo au wa tumbo ama anayetoa makamasi, wote nitawaunganisha kama Wakenya."
}