GET /api/v0.1/hansard/entries/1194918/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1194918,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194918/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Spika wa Muda",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Anayefuata katika mazungumzo yetu ni Mhe. Joyce Kamene, Mbunge wa Machakos Kaunti. Atafuatwa na Mhe. John Kiarie. Mhe. Joyce Kamene? Hayuko hapa Bungeni na nilikuwa nimemuona? Kwa hivyo, tutaenda kwa Mhe. John Kiarie kutoka Dagoretti Kusini."
}