GET /api/v0.1/hansard/entries/1194932/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1194932,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1194932/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilgoris, JP",
    "speaker_title": "Mhe. Julius Sunkuli",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Namshukuru Mhe. Yusuf Hassan. Kungekuwa na mengi ya kusema lakini kwa kuunga mkono Hoja hii, ningependa tu kusema mambo mawili mafupi. Baraza la Kiswahili litakuwa na jukumu la kupa makaazi Kiswahili. Wakati huu hatujui Kiswahili kinahifadhiwa katika wizara gani. Ingekuwa ni Wizara ya Elimu lakini wengine wanasema ni Wizara ya Utamaduni. Baraza likija, tutajua ni nani atakua akikikuza Kiswahili. La mwisho, Baraza la Kiswahili litazawasisha Kiswahili na litatia muhuri Kiswahili sanifu hasa katika vyombo vya habari na pia vile viongozi walivyozungumza. Najua katika awamu ya…"
}