GET /api/v0.1/hansard/entries/1195354/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195354,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195354/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa Muda, nachukua nafasi hii kuwakaribisha wanafunzi kutoka Nakuru katika Bunge letu. Wazazi wenu walituchagua na wanatuombea. Mtakachojifunza leo katika Bunge hili itaongeza maarifa yenu; na miaka 10 ama 14 ijayo, mnaweza kuwa Wajumbe."
}