GET /api/v0.1/hansard/entries/1195402/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195402,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195402/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Kabla nichangie Hoja hii, ningependa kuwashukuru wakazi wa Kaloleni kwa kunipatia nafasi ya kuweza kuwahudumia kwa kipindi cha pili. Hii ni mara ya kwanza kwa Mjumbe Kaloleni kuchaguliwa kipindi cha pili kwa muda wa zaidi ya miaka ishirini."
}