GET /api/v0.1/hansard/entries/1195696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195696,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195696/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ambazo tumeunganishwa ili tuweze kutoa michango, ni nyingi muno, sembuse wao ma MCAs ambao wako pale mashinani. Mbona awanyime usafiri watu wanaohudumia wananchi pale mashinani? Kwa hivyo, kwa lalama na msisitizo wa juu ya kwamba hatua kali ichukuliwe dhidi ya Mwenyekiti huyu"
}