GET /api/v0.1/hansard/entries/1195709/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195709,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195709/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo lingine la kusikitisha ni upande wa wafanyikazi wetu hapa ndani ya Bunge. Leo mishahara yao imerudishwa chini sana mpaka wanapewa sijui shilingi elfu nne za Kenya. Hiyo elfu nne itakupeleka wapi? Huwezi kuketi mahali popote ukiwa umeondoka hapa umeenda kikazi kama Kisumu, Kakamega, Mombasa au Kilifi na upewe elfu nne. Utakula, kutembea na kulala namna gani? Haiwezekani. Ninaona kwamba huyu mama aje hapa, ajibu maswali katika kikao cha Seneti Nzima."
}