GET /api/v0.1/hansard/entries/1195740/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1195740,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195740/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "The Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": " Nimekaa hapa siku nyingi na ninajua kwamba Sen. Miraj huzungumza Kiswahili. Kwa vile hii Taarifa yake iko kwa Kiingereza, nimeonelea anataka kutafsiri mambo mengine kwa Kiswahili, lugha yake ya kawaida. Seneta Miraj, tafadhali chukua dakika zako mbili."
}