GET /api/v0.1/hansard/entries/1195741/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195741,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195741/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Naibu wa Spika. Ningependa tu kukujulisha ya kwamba hawa wananchi waliofutwa kazi baada ya mageuzi, walipewa matumaini ya kurejeshwa. Haya yalisemwa katika vikao tofauti baina yao na Maseneta na hata Wabunge wa Bunge la Kitaifa. Tatizo ni kwamba muda unayoyoma na wengine wameaga dunia, ilihali wengine wamezeeka. Ninaomba Kamati hii iweke wazi vile tutawasaidia. Je, wataajiriwa? Kama hawataajiriwa, wapewe afueni wajitafutie kazi kwingine. Siyo sawa kumchukua mtu kisha umpeleke training na kwa pay slip unaandika lini ataenda retirement ilhali humwaajiri kazi."
}