GET /api/v0.1/hansard/entries/1195916/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1195916,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195916/?format=api",
    "text_counter": 419,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ni watu wa Kaunti ya Embu . Hii ni kwa sababu mabwawa mengi ya maji ya kuzalisha umeme, yako katika Kaunti ya Embu. Ninazungumzia kuhusu mabwawa ya Kiambere, Masinga, Gitaru na Kindaruma. Watu wa Kaunti ya Embu wanapaswa washughulikiwa vizuri kwa sababu hakuna stima upande wa chini wa Mbeere. Inasemekana KenGen wako tu kuzalisha umeme, lakini kuna wengine wa kuuza huo umeme."
}