GET /api/v0.1/hansard/entries/1195917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1195917,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195917/?format=api",
    "text_counter": 420,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, ninahimiza Serikali ya Kenya Kwanza, Kaunti ya Embu iwe ya kwanza kushughulikiwa na tupate stima kila pahali. Jambo la msingi ni kuwa tuko na mabwawa ya kuzalisha umeme, ambao unaweza kutusaidia upande wa elimu na pia kukuza chakula ndio tuweze kuwa na maendeleo. Watupatie hata maji ya kutumia kwa kilimo. Ingawa ni Kampuni ya kibinafsi, wanafaa kushughulikia mambo mengine ya huo mto unaotoka Masinga kuelekea Gitaru."
}