GET /api/v0.1/hansard/entries/1195955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1195955,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1195955/?format=api",
"text_counter": 458,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika wa muda. Jambo la kwanza, naunga mkono taratibu ya dada yangu Sen. Tabitha Keroche kwa kuona ya kwamba imefika wakati ingekuwa vyema Maseneta waenda likizo kidogo. Nina imani ya kwamba agizo la kwenda likizo kama hilo litasaidia pakubwa kwa wale maseneta ambao wameingia Bunge hivi sasa. Hii ni kwa sababu tumeona wakiwa na tabia ya kutembea hapa ndani na kuvuka upande huu bila kwenda pale mbele---"
}