GET /api/v0.1/hansard/entries/1196134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1196134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1196134/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Usalama ni jambo ambalo lazima niliangazie kama mwakilishi wa watu wa Malindi. Tunashukuru kwa mambo machache ya usalama ambayo utawala umefanya ndani ya Eneo Bunge la Malindi. Watu wa Malindi wanategemea utalii zaidi. Inanisikitisha mimi kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}