GET /api/v0.1/hansard/entries/1196136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1196136,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1196136/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": "Nashukuru pia vile tumepata Waziri ambaye anaelewa maneno haya. Nataka kumuambia Mhe. Aden Duale wa ulinzi kwamba tunataka tufanye kazi zaidi na pamoja kuhakikisha kwamba tumerudisha usalama ili wageni warudi ndani ya Eneo Bunge la Malindi, ili watu waweze kujitegemea."
}