GET /api/v0.1/hansard/entries/1196201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1196201,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1196201/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Labda kwa kumalizia tu, nitaelezea matatizo yanayotukumba sisi na mabadiliko tunayotaka. Ni lazima na ni sharti kuwe na mikakati maalum na mageuzi ndani ya TSC. Haiwezi kuwa ikiendeshwa na mtu mmoja miaka nenda, miaka rudi. Vijana chapakazi, damu moto, waingie katika afisi hizi ili waweze kusikiliza vilio vya walimu, wazazi na watoto. Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}