GET /api/v0.1/hansard/entries/1196380/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1196380,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1196380/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia North, JP",
"speaker_title": "Hon. Sarah Korere",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": " Shukrani, Mheshimiwa Spika wa Muda. Ningependa kukupongeza kwa uteuzi wako kama msaidizi wa Spika. Ningependa kuchukua fursa hii kuwashukuru wapiga kura wa Laikipia Kaskazini kwa kunipa nafasi nyingine kuhudumu katika Bunge la Awamu ya Kumi na Tatu. Mheshimiwa Spika wa Muda, Wabunge wote walioketi hapa siku ya leo walipigwa msasa na darubini na wapiga kura waliowachagua. Wote watakubaliana nami kwamba huko The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}