GET /api/v0.1/hansard/entries/1196861/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1196861,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1196861/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Naibu Spika. Wakati ule, ilikuwa ni lazima watu waonyeshe ubabe na kwamba wako na Ukenya ndani mwao. Ilikuwa ni jambo la kushangaza. Nampa mkono wa kongole kwa kujitolea kwa sababu kaunti yake ilikuwa inapata ilhali zingine zilikuwa zinapoteza. Alisimama na haki ya wale waliokuwa wanapoteza ili sote tupate maendeleo. Bw. Naibu Spika ---"
}