GET /api/v0.1/hansard/entries/1197640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1197640,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197640/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ninawakaribisha wanafunzi na waalimu. Najiunga nawe pia kuwaambia, “karibuni ndani ya Bunge la Seneti”. Jambo la muhimu ni kwamba wamekuja kujionea jinsi Seneti inavyofanya kazi na kuweza kuona viongozi wao wanavyotekeleza wajibu wao baaada ya kuchaguliwa."
}