GET /api/v0.1/hansard/entries/1197641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1197641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197641/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, la muhimu ni kwamba Nduundune, nilivyoambiwa na ndugu yangu Sen. Maanzo, ni shule nzuri iliyopitiwa na vigogo wa nchi hii yetu. Nawatakia kila la heri. Kuja kwao hapa imewawezesha kuona vile kazi inaendelea ndani ya Seneti. Nina uhakika kwamba mmoja au wawili wao wameguswa. Nina imani kwamba wengine wao watasimama siku moja na kusema kwamba waliona viongozi wao wakifanya kazi katika Seneti na hao pia wanaomba mwenyezi Mungu awasaidia kufika hapa."
}