GET /api/v0.1/hansard/entries/1197681/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1197681,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197681/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Tunaomba kwamba Kamati hii iangalie kwa undani zaidi. Na ikiwezekana hata kama ni mapendekezo, yawe na Tume Huru ya kuchunguza maswala haya kama vile Goldenberg na mengineyo. Hii itafanya siku za usoni tusiwe na shida kama hizo. Hii ni kwa sababu Katiba yetu inamlinda mtu yeyote katika nchi yetu ya Kenya."
}