GET /api/v0.1/hansard/entries/1197700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1197700,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197700/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, je, ni haki ndugu yangu, Sen. Kinyua, kuleta hoja nyingine ambayo haiuhusiani kabisa na Hoja ya nidhamu? Umemsikia alivyosema na mimi ninaomba uamuzi wako. Ilikuwa hoja ya nidhamu ama mambo ya Kaunti ya Meru? Kama ni mambo ya Kaunti ya Meru, anatakiwa alete Hoja maalum hapa tuijadili."
}