GET /api/v0.1/hansard/entries/1197754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1197754,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197754/?format=api",
    "text_counter": 296,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, Madiwani wanafaa waangaliwe ili waweze kuendelea kufanya kazi zao. Tutasimama nao, tutawatetea hadi wapate haki yao. Sen. Olekina ni mtetezi wa wanyonge. Kwa hivyo, ninamuomba awatetee Madiwani kwa sababu hata kule anakotoka, Narok, kuna madiwani. Wamekuwa wakinipigia simu, wakisema wanataka kuwasikia Maseneta wa Narok, Kilifi, Siaya na Nairobi wakiongea. Wanataka kusikia Maseneta wa kwao wakisema neno kuhusu Madiwani. Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}