GET /api/v0.1/hansard/entries/1197772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1197772,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197772/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza nampa kongole Seneta wa Kitui kwa kuleta hii Taarifa. Pili, ni ukweli kabisa, mimi nikiwa kama shahidi kwa sababu nilikuwa katika ile Kamati ya Labour and Social Welfare na bado nipo. Kwa hivyo, ninaongea ukweli kwamba jambo hili lilijadiliwa kwenye Kamati hiyo."
}