GET /api/v0.1/hansard/entries/1197776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1197776,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1197776/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Pili, ukiona madiwani waliokuwapo zama hizo, utawaonea huruma. Wale wezi wao wako sawasawa ilhali wale waliofanyia wananchi kazi kisawasawa waliopoteza viti vyao. Ukiwaona ni watu wanaoishi “mahai” yaani maisha ya uchochole. Hawana mbele wala nyuma. Utashangaa kama walikuwa madiwani walioheshimika wakati huo. Mwisho, ni ukweli kuwa tulipitisha ridhaa ya Kshs200,000, lakini hizo si pesa nyingi. Nina imani ya kwamba, Taarifa hii ikipelekwa kwa ile Kamati ya Leba na Maslahi ya Jamii, basi wale watakaoketi kwa hiyo Kamati, hawana haja ya kufanya kama"
}