GET /api/v0.1/hansard/entries/1198109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1198109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198109/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, nimefurahia kusikia wageni kutoka Kaunti ya Embu wametutembelea. Ninawakaribisha waje waone vile tunafanya kazi. Ni Baraka kuwa nao hapa. Bw. Spika, mjue kwamba kuna njaa katika Kaunti ya Embu. Kuna njaa kule Kiambere na Mutuobare. Mbuzi wanakufa na miraa imekauka. Kwa hivyo, ninaomba---"
}