GET /api/v0.1/hansard/entries/1198120/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198120,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198120/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, madaktari kutofika hospitali katika masaa yanayotakikana ili kuokoa maisha ya wagonjwa, ni jambo ambalo linaonekana linaanza kupata moto kila mahali. Huu utepetevu unatendeka maeneo ya Kisumu, Kilifi na pia hapa Nairobi. Ninaomba hiyo Taarifa ijumuishwe pamoja na ya Mhe. Kamoti ili ziangaliwe pamoja. Ni kwa sababu gani madaktari hawakuwa kazini na kama walikuwa kazini, ni kwa nini walichelewa kumhudumia mheshimiwa. Na pia yule mtoto ambaye Sen. Kibwana amemzungumzia? Itakuwa vyema hii kesi ya mheshimiwa ijumuishwe na mtoto Travis."
}