GET /api/v0.1/hansard/entries/1198426/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1198426,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198426/?format=api",
"text_counter": 63,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bi. Spika wa Muda, kwanza, nawashukuru sana wale ambao wameleta hii ardhihali, wakiongozwa na Daniel Rakoko, kuhusu maisha ya watu wanaoshi kwenye visiwa kule Homa Bay. Tunaelewa kwamba watu hao hupitia hali ngumu ya usafiri. Watu hawawezi kutoka nyumbani wakiwa na mizigo ama wakienda shuleni au popote penye haja kwa sababu inawalazimu kuogelea ilhali hawawezi kufanya hivyo wakiwa na mizigo. Watu hao wanahitaji huduma za usafiri kikamilifu kama Wakenya wengine, jinsi"
}