GET /api/v0.1/hansard/entries/1198428/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198428,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198428/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "inavyotoa huduma za usafiri kwa watu wa Mombasa na pande zingine. Mara nyingi, kwenye visiwa, utapata kuna wakulima, wavuvi na wafanyabiashara mbalimbali. Wavuvi na wakulima huhitaji usafiri ili kupeleka bidhaa zao sokoni. Hali kama hiyo ni ngumu kwao. Ikiwa hali hiyo itaendelea, wakazi wa visiwa kama vile Mfangano na Rusinga wataendelea kuumia. Kwa hivyo, KFS inafaa kuchukua hatua kwa haraka. Kama kuna pesa, ni vyema Serikali yetu kuchukua hatua kwa haraka na kuhakikisha ferry zimepelekwa kule ili kusaidia watu wanaoishi kwenye visiwa."
}