GET /api/v0.1/hansard/entries/1198443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198443,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198443/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, Katiba inasema kwamba feri na bandari ni jukumu la Serikali za kaunti. Kwa hivyo, iwapo hizo fedha ambazo zinawekwa katika feri zitaweza kuregeshwa katika zile kaunti zinazo pahali ambapo wanaweza kuegesha vyombo, itasidia pakubwa kurahisisha usafiri. Jambo lingine ambalo tumeona ni kwamba, Kenya Maritime Authority (KMA) ambayo inafaa kuangalie maswala haya---"
}