GET /api/v0.1/hansard/entries/1198445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1198445,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198445/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Kenya Maritime Authority haijafanya jambo lolote kuhusu maswala haya. Ni Mombasa pekee yake ndipo wameweza kukaa na mpaka sasa hawajaenda pahali pengine popote kufanya huduma kama hizo. Ukiangalia mambo---"
}