GET /api/v0.1/hansard/entries/1198633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1198633,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198633/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bi. Spika wa Muda, cha kwanza ni kuwa Bunge letu la Afrika Mashariki linafika mwisho wake ifikapo mwezi wa 12. Kuna umuhimu tuwe tayari kufanya mikakati ya kuona ya kwamba kunao Wakenya wengine tutakaowachagua sisi wenyewe hapa Bungeni ili waweze kutuwakilisha katika lile Bunge la Afrika Mashariki."
}