GET /api/v0.1/hansard/entries/1198634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198634/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kama unavyoelewa, Bunge la Afrika Mashariki ni muhimu sana linaloweza kuleta mikakati ambayo sisi kama wananchi wa Afrika Mashariki tutashirikiana. Hivi sasa tuko Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi na Rwanda. Hivi juzi tumepata kitinda mimba ambaye pia amekubali kuingia katika Bunge la Afrika Mashariki naye ni Sudan ya Kusini."
}