GET /api/v0.1/hansard/entries/1198635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198635,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198635/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Itakuwa kiungo muhimu sana kwa Wakenya kuona kwamba ndugu zetu wa Sudan ya Kusini wameingia katika ushirika huu na katika Bunge la Afrika Mashariki. Ndio sababu, kwa umuhimu wao, ikaonekana ingekuwa vyema michezo hii ambayo hufanyika kila mwaka, mwezi wa kumi na mbili ifanyike Sudan ya Kusini. Ni michezo ambayo"
}