GET /api/v0.1/hansard/entries/1198638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198638,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198638/?format=api",
    "text_counter": 275,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Hata dada zetu pia wanaweza kujiunga na mambo ya mbio, ya kuvuta kamba na mengineo yanayoendelea katika ushirikiano huo. Bi. Spika wa Muda, kunao umuhimu kuweka kamati maalum ambayo inaweza kuangalia zile taratibu zimefuatwa vyema. Sababu kuu ni kuona ya kwamba wale wanataka kupigania hivi viti, kujihusisha ama kuchaguliwa kutuwakilisha katika lile Bunge la Afrika Mashariki wameweza kupitia kwa Kamati."
}