GET /api/v0.1/hansard/entries/1198639/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1198639,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1198639/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kuna umuhimu wa sisi kama Bunge la Seneti kuweza kukaa chini na kuchagua Maseneta ambao tunafikiria wana umuhimu sana katika ile kamati. Hao wataweza kuchunguza taratibu ili waweze kutuchagulia watu ambao watakuwa sawa sawa kwenda katika lile Bunge la Afrika Mashariki."
}