GET /api/v0.1/hansard/entries/1199050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199050,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199050/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, kabla ya kuongea kuhusu hii Hoja, ningetaka kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kusimama na kutembea nasi wakati wa kampeini na kutupatia amani hapa nchini Kenya. Ningetaka kumpogeza Rais wetu Mhe. Dkt. William Ruto na Naibu wake kwa kuongoza mambo ya kampeni nchini yetu kwa njia ya amani. Pia, nawapongeza waliochaguliwa kama Spika, Naibu Spika na hata wewe Mhe. Wangari kutoka Eneo Bunge la Gilgil. Nakupongeza kwa kuchaguliwa katika Speaker’s Panel ."
}