GET /api/v0.1/hansard/entries/1199052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199052,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199052/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Ningependa sana kuwa mmoja wa wale ambao watainua mambo ya amani hapa nchini yetu, haswa Nakuru. Kwa hivyo, nataka kuwapongeza sana wananchi wa Nakuru kwa kuendesha kampeini na uchaguzi kwa amani. Singependa kusahau pastors ambao walisimama kuombea nchi yetu. Nawabariki sana wachungaji wetu kwa sababu najua hawakupumzika wakati huo wote na Mungu aliweza kusikia maombi yetu. Nasema ahsante."
}