GET /api/v0.1/hansard/entries/1199053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199053,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199053/?format=api",
    "text_counter": 279,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa Hoja ya leo, inahusu kulisha watoto wetu shuleni. Nataka kumpongeza Mheshimiwa ambaye ameleta Hoja hii hapa Bungeni. Naunga mkono mambo ya kulisha watoto shuleni. Nasema hivyo kwa sababu tunaelewa tunapitia shida nyingi hapa nchini, na wazazi wengi hawana uwezo wa kulisha watoto wao nyumbani. Tunaelewa kwamba ili mtoto aweze kusoma na kupita vizuri, anafaa kupatiwa chakula cha kutosha."
}