GET /api/v0.1/hansard/entries/1199054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199054,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199054/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Tunapoongea juu ya utaratibu wa vile watoto wetu watalishwa, ni vizuri wapate chakula ambacho kinafaa ama special diet . Lazima kiwe na proteins, carbohydrates na vitamins . Kwa hivyo, chakula chenyewe lazima kitoke kwa wakulima wa Kenya ambao wanalima mahindi, viazi, ndengu na maharagwe. Inafaa wapatiwe nafasi ya kupeleka hicho chakula kwenye shule ambazo ziko katika maeneo bunge yao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}