GET /api/v0.1/hansard/entries/1199055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199055,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199055/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Nachukua nafasi hii kuwaambia Waheshimiwa tuweze kuja pamoja ili kuhakikisha chakula hiki kitatoka kwa wakulima wetu hapa nchini. Litakuwa jambo mbaya tunapopanga mpango huu wa kulisha watoto wetu, halafu chakula kitoke nchi zingine. Hatutafurahi kusikia kwamba kuna chakula ambacho kimetoka nje ya hii nchi. Tunataka watoto wetu walishiwe na wakulima wa hapa Kenya ambao pia ni wazazi wa hao watoto."
}