GET /api/v0.1/hansard/entries/1199056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199056,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199056/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Hatuwezi kuongea tu mambo ya chakula. Ili mtoto aweze kupita, lazima apatiwe kila kitu ambacho anahitaji. Naongea hivi kwa sababu najua saa hii tuko na masomo mapya yanayoitwa Competency Based Curriculum, na kuna vitu vingi sana ambavyo vinahitajika. Ili mtoto aweze kupita baada ya kula, anahitaji vitu vingi. Kwa hivyo, nisharti katika mikakati ya kuhakikisha kwamba watoto wanapata chakula, waangalie ni nini watoto wanahitaji ili waweze kupita."
}