GET /api/v0.1/hansard/entries/1199057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199057/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Nawapongeza Wabunge wote waliochagulia katika Bunge hili. Najua ili maendeleo yafike pale nyumbani ni kwa sababu ya NG-CDF. Naunga mkono mambo ya NG-CDF na pesa zote za Serikali kama zile zinapitia ofisi ya Mama Kaunti, Women Enterprise Fund na Youth Enterprise Development Fund, ziwekwe katika Katiba. Hii ni kwa sababu hizo pesa zinasaidia mwanachi wa kawaida."
}