GET /api/v0.1/hansard/entries/1199058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199058,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199058/?format=api",
    "text_counter": 284,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Nikirudi kwa mambo ya kulisha watoto shuleni, ni lazima wakulima wa nchi ya Kenya wapewe nafasi kupeleka chakula shuleni. Tunajua watoto wetu wamemaliza shule na hawana kazi. Kuna watu wasiojiweza. Hata wao wapatiwe nafasi kama suppliers . Nachukua nafasi hii kusema nilifurahishwa sana na Hotuba ya Rais alipoongea juu ya mambo ya agriculture . Alisema Serikali ya Kenya Kwanza itapunguza bei ya mbolea na chochote ambacho kinahitajika ili ukulima uwe bora zaidi"
}