GET /api/v0.1/hansard/entries/1199059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199059,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199059/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "Nilifurahia sana alipoguza maisha ya mkulima nchini Kenya. Aliguzia maisha ya kila mtu. Nampongeza Rais kwa kutilia maanani mambo aliyosema wakati wa kampeini. Kwa hivyo, sisi wote kama Wabunge tuungane pamoja na kuweza kuleta wananchi wawe kitu kimoja na tuangazie mahitaji yao."
}