GET /api/v0.1/hansard/entries/1199060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199060/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache Mungu akubariki. Nimefurahi sana kwa sababu wewe ni msichana kutoka Kaunti ya Nakuru. Wabunge wenzangu wanaelewa kwamba Nakuru inajulika kama kaunti ya wasichana. Naibu Spika wa Muda, leo ni msichana wa kutoka kwetu Nakuru. Unaweza fikiria mimi ndiye naongoza kwa sababu mimi ni Mama Kaunti. Kuna msichana ambaye anatuongoza katika Nakuru ambaye ameketi kama Gavana wa Nakuru, Mhe. Susan Kihika. Tuko na Seneta wetu Tabitha Karanja, halafu Mhe. Liz Chelule mwenye anaongea sasa kama msichana nambari tatu. Halafu, msichana nambari nne, Jayne Kihara, ambaye amekuwa akiketi hapa. Nafikiri ameondoka kidogo. Yeye ndiye Mjumbe wetu kutoka Naivasha. Msichana mwingine tungeketi na yeye pia hapa ni Mhe. Charity Kathambi kutoka Njoro. Mheshimiwa Martha Wangari ni msichana wa tano ambaye anatoka Bahati. Kwa hayo machache, naomba kuketi. Ahsante."
}